Nishike mkono ee mungu wangu nipo katikati ya watesi wanaitaka roho yangu
Maadui wananiombea mauti bila ya kujua kuwa mauti ni faida kwangu
Ee mungu ulie juu naikabidhi jumamosi yangu mikononi mwako nauibariki uifanye siku ya mafanikio katika maisha yangu
Baba mungu naileta nchi ya tanzania mikononi mwako ifanye mahala salama pa kuishi uipake mafuta uipe neema mbele ya mataifa
Baba mungu katika jina la xesu kristo nawaleta kwako wagonjwa wagumba tasa wenye shida na mateso mbali mbali na waliofungwa na hila za muovu waliokamatwa na shetani kuanzia sasa nawatangazi uhuru wa mateso yao ukawakumbatie ewe mfariji wa wawafaruji maana wewe ndio.msaada wakp
Wanakuinulia macho yao ili wakuone bwana onekana mbele zao
Isayah 41:10
USIOGOPE KWA MAANA MIMI NI PAMOJA NAWE USIFADHAIE KWA MAANA MIMI NI MUNGU WAKO NITAKUTIA NGUVU NAAM NITAKUSAIDIA NAAM NITAKUSHIKA KWA MKONO KUUME WA HAKI YANGU

KILA GUMU MSAADA NI MUNGU
KILA JARIBU LAKUPASA KUSHINDA TUOMBEANE TUSIWEKEANE UNABII MAANA HAKUNA MKAMILIFU
YESU MWANA WA MUNGU NITAZE KAMA ULIVOMTIZAMA SAULI NIPE MAONO ANGAVU NISAIDIE VITA YANGU IMEKUWA NA MIIBA NA MOTO MKALI NIFANYE JESHI IMARA ILI ULIMWENGU UTAMBUE THAMANI YA KIFO CHAKO

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni