Baba wa mbinguni ninakuja kwako katika jina la yesu neno linasema yeyote atakaeliita jina la bwana ataokoka matendo ya mitume 2:21.ninakuita wewe bwana yesu.ninakuomba ewe yesu uingie ndani ya moyo wangu na kufanyika bwana juu ya maisha yangu kulingana na warumi 10:9-10
Kwasabu ukimkiri yesu kwa kinywa,chako ya kuwa ni bwana na kuamini kuwa mungu alimfufu katika,wadu utaokoka maana moyo wa mtu huamini na kupata haki na hukiri na kupata wokovu
SAsa nimezaliwa upya mimi ni mkristo mtoto wa mungu alie hai nimeikoka
Pia nakuomba unijaze roho mtakatifu roho wa mungu furika ndani ya moyo wangu
Ninatarajia kwa moyo wote kunena kwa lugha kwa uweza wa roho mtakatiifu
Sema amen
Jumatano, 12 Novemba 2014
Sara ya wokovu
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni